Marekani yaunga mkono uanachama wa kudumu wa Afrika katika Baraza la Usalama

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani yaunga mkono uanachama wa kudumu wa viti viwili kwa ajili ya Afrika katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Rais wa Russia Vladimir Putin amesema muungano wa BRICS unaendelea kukua katika jitihada za kumaliza ushawishi wa mataifa ya Magharibi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari