Marekani yataka Afrika kutengewa viti vya kudumu katika Baraza la Usalama la UN

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani inataka Afrika kutengewa viti vya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Vifo vingi vinatokea katika kambi za wakimbizi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na njaa na magonjwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari