Marekani yaipatia Ukraine dola bilion 40 za msaada wa kijeshi na kibinadamu

Your browser doesn’t support HTML5

Mapambano ya Marekani dhiidi ya Russia katika vita ya Ukraine yanaongezeka kwa kiwango kikubwa baada ya Baraza la Wawakilishi la Marekani Jumanne kupitisha dola bilioni 40 za msaada mpya wa kijeshi na kibinadamu kwa Ukraine.