Marekani: Wapinzani wa rasimu ya marufuku ya utoaji mimba waona fursa

Your browser doesn’t support HTML5

Sheria ya serikali kuu nchini Marekani ambayo ilimuhakikishia mwanamke haki za msingi katika suala la utoaji mimba sasa inaelekea kufikia hatma yake. Lakini wapinzani wa rasimu hiyo ya Mahakama ya Juu inayoeleza marufuku ya kutoa mimba iliyovuja wanasema itaonyesha njia ya wapiga kura