Maporomoko ya ardhi yaua watu zaidi ya 30

Your browser doesn’t support HTML5

Maporomoko ya ardhi yameua watu zaidi ya 30 mashariki mwa Uganda.

Makubaliano ya kusitisha vita kati ya Israel na Hezbollah yakiukwa, Israel yafyatua makombora kuelekea Lebanon.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari