Mapambano yanayoendelea dhidi ya HIV na Ukimwi kuelekea malengo ya UN mwaka 2030.
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa mujibu wa UNAIDS watu milioni 39 duniani wanaishi na HIV na zaidi ya milioni 29 wanatumia dawa ya kupunguza makali ya HIV. Hata hivyo watu milioni 9.2 bado hawana uwezo wa kupata matibabu.