Maoni tofauti yazuka baada ya Kuahirishwa mkutano wa viongozi wa Rwanda na DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya mkutano wa viongozi wa Rwanda na DRC kuahirishwa mwishoni mwa wiki maoni tofauti yamezuka kuhusu hatua ya kutafuta amani mashariki ya DRC.

Wakati akisubiriwa Donald Trump kurejea madarakani Wamarekani wengi wanasema wanatarajia kuboresha uchumi itakuwa moja ya kipaumbele chake cha kwanza.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari