Maoni mseto yaibuka baada ya Rais wa zamani Trump kusomewa mashtaka ya kuhifadhi nyaraka za siri

Your browser doesn’t support HTML5

Maoni mseto yaibuka baada ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kusomewa mashtaka rasmi ya kuhifadhi nyaraka za siri za serikali.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari