Ungana na mwandishi wetu Kennes Bwire akikuletea ripoti kamili...
Mamlaka ya Mawasiliano Chad yato kanuni mpya ya uchaguzi, wadau waikosoa
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati Chad inajitayarisha kwa uchaguzi mkuu mwezi Disemba 2024, Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo Hama imeshutumu wasimamizi wa vyombo vya habari kwa kuchapisha video ambazo hazijakubaliwa kwenye mitandao ya kijamii.