Malaria yatatiza Afrika Mashariki

Mfanyakazi wa huduma za afya akichukua vipimo vya damu vya Malaria .

Matumaini ya kuondoa ugonjwa wa Malaria katika bara la Afrika yanasuasua kutokana na changamoto za kiafya zinakabili hasa Afrika Mashariki.

Matumaini ya kuondoa ugonjwa wa Malaria katika bara la Afrika yanasuasua kutokana na changamoto za kiafya zinakabili hasa Afrika Mashariki.

Wataalamu wa afya wanasema bado juhudi kubwa zinahitajika ili kuutokomeza ugonjwa huo kabisa.

Your browser doesn’t support HTML5

Ugonjwa wa Malaria watoa changamoto Kenya