Makamu wa Rais wa Marekani aonyesha mtazamo wake wa Ki-conservative

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ameonyesha mtazamo wake wa Ki-conservative kwa mambo ya nje kwenye mkutano CPAC.

Jumuiya ya kimataifa inaendelea kuishinikiza Rwanda kuondoa vikosi vyake DRC ili amani ipatikane na operesheni za M23 zisite.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari