Makampuni makubwa yasisitiza mustakbali wa magari ya umeme
Your browser doesn’t support HTML5
Bado zipo changamoto kuwashawishi watu wengi kununua magari ya nishati ya umeme makampuni makubwa yanaeleza, pamoja na kuwepo matumaini ya ongezeko kubwa la magari hayo yenye kulinda mazingira.