Matukio ya Dunia Mahojiano na Balozi Nyamwite 29 Juni, 2015 Your browser doesn’t support HTML5 Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Burundi Balozi Alain Nyamwite anasema uchaguzi utafanyika Burundi kasma ulivyopangwa licha ya upinzani kususia.