Maelfu wajitokeza Dakar kusheherekea ushindi wa timu ya Senegal

Your browser doesn’t support HTML5

Ushindi wa timu ya taifa ya Senegal katika Kombe la Soka la Mataifa ya Afrika, AFCON, umelakiwa kwa shangwe kubwa katika mitaa ya mji mkuu wa Senegal, Dakar.