Maandamano kutaka hatua kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

Mwanaharakati wa kundi la Extinction Rebellion akikaa nje ya jengo la bunge la Uingereza mjini London, siku ya jumatatu  wakati kundi lake likifunga njia muhimu mjini London, Berlin na Amsterdam Oct 7 2019 wakianza malalamiko ya wiki nzima kutaka hatua kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani. (AP)

Waandamanaji wa kundi la mabadiliko ya hali ya hewa la Extinction Rebellion wakikaa kwenye uwanja wa Trafalgar Square kati kati ya London siku ya Jumatatu, Oct. 7, 2019.  (AP)

Walinda mazingira wa kundi la wakikabiliana na polisi kwenye daraja la Lambeth bridge kati kati ya  London Jumatatu, Oct. 7, 2019. (AP )

Watetezi wa mabadiliko ya hali ya hewa wakifunga njia kuelekea jengo la bunge la Uingereza mjini London siku ya Jumatatu, Oct. 7, 2019. (AP)

Mtoto aliyekuwa akicheza kwenye ufukwe wa Copacabana beach mjini Rio de Janeiro, Brazil, pamoja na familia yake waungana pamoja na watu wengine wanaoshikana mkono kuonesha umoja katika vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa  duniani siku ya Jumatatu, Oct. 7, 2019.  (AP)

Watetea mabadiliko ya hali ya hewa wakikusanyika katika mtaa wafedha wa New York, Wall St in wakati wa malalamiko ya kundi la Extinction Rebellion October 7, 2019. REUTERS

Mtoto ahudhuria malalamiko ya kundi la Extinction Rebellion kwenye ufukwewa Copacabana beach mjini Rio de Janeiro, Brazil Oct. 7 de 2019. AP.
 

Mtu aliyeva kama kinyago akishiriki katika malalamiko ya kundi la Extinction Rebellion mjini Paris, Ufaransa October 7, 2019. REUTERS

Walalamikaji wa kundi la Extinction Rebellion wafunga wafunga njia kuelekea uwanja wa Buckingham Palace, mjini London Jumatatu, Oct. 7, 2019. (AP)

Walalamikaji wa kundi la Extinction Rebellion wafunga wafunga njia kuelekea uwanja wa Buckingham Palace, mjini London Jumatatu, Oct. 7, 2019. (AP)