Kuanza tena hali mbaya zaidi ya mzozo wa wafanyakazi Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Kuanza tena hali mbaya zaidi ya mzozo wa wafanyakazi tangu Magret Thatcher aingie madarakani 1980 na kutokea mfumuko wa bei wa zaidi ya asilimia 10, kumezua hali ya kukata tamaa nchini Uingereza.

Viwango vya maisha vinachuka kwa kasi zaidi tangu rekodi ziaenze kuwekwa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili ya hali ya wafanyakazi na changamoto zinazowakabili...