Kikundi cha waasi wa M23 chazidi kusonga mbele nchini DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya usalama yazidi kuwa mbaya huku kukiwepo ripoti za kikundi cha waasi wa M23 wakisonga mbele.

Wakazi wa mji wa Goma waripoti kuendelea kwa mapigano kati ya vikosi vya DRC na waasi wa M23.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari