Kenya yakabiliana na wimbi la habari potofu dhidi ya chanjo

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Kenya yakabiliana na wimbi la taarifa potofu dhidi ya watu kuchanja kinga ya COVID-19 huku habari hizo zikilemaza zoezi hilo.