Kenya yajipanga kutengeneza chanjo ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya yaainisha mpango wake wa kutengeneza chanjo ya COVID-19 kwa kushirikiana na kampuni za dawa katika hatua ya kurahisisha usambazaji wa chanjo kwa watu wengi.