Kenya: Mkazi wa Nairobi aeleza fursa zilizopo katika takataka za bidhaa za kielektroniki

Your browser doesn’t support HTML5

Takataka za nyumbani nchini Kenya zinazotokana na bidhaa za kielektroniki zinazo fahamika kama e-waste ndizo zimeongezeka zaidi kwa kasi duniani, takriban katika muongo mmoja uliopita.

Sehemu kubwa ya taka hizi huishia kwenye viwanja vya jaa la taka. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hatua ambazo huchukuliwa kuzishughulikia takataka hizo mjini Nairbi na athari za takataka hizo kwa jamii na pia fursa zilizopo za kujipatia maisha.