Kenya: Bajeti ya mwisho ya Kenyatta yasomwa Bungeni

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Rais Uhuru Kenyatta imewasilisha katika Bunge la Taifa la Kenya bajeti ya mwisho chini ya utawala wake siku ya Alhamisi.