Kashfa ya COVID-19 Afrika Kusini yaihusisha kampuni ya Digital Vibes

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameidhinisha kutolewa ripoti maalumu ya uchunguzi juu ya mkataba uliotolewa na wizara ya afya kwa ajili ya kampeni ya COVID-19 kwenye vyombo vya habari.
Uchunguzi huo umegundua kwamba mkataba uliotolewa kwa kampuni ya Digital Vibes haukuwa sahihi na maafisa wa juu wamefaidika kutokana na baadhi ya pesa zilizolipwa na kampuni hiyo.