Mchambuzi anaeleza athari za kushuka kwa idadi hiyo kwa watu wa kawaida wanaotumia huduma za kupokea au kuhamisha pesa kwa simu ambazo hapo awali zilionekana mkombozi...
Kampuni za simu zapata hasara baada ya idadi ya miamala kupungua
Your browser doesn’t support HTML5
Baadhi ya kampuni za simu zaeleza kuwa zimeandikisha hasara katika huduma zao za fedha baada ya kushuka kwa idadi ya miamala tangu serikali ya Tanzania kuanzisha tozo.