Kagame aonya DRC kujiepusha na wazo la kuvamia Rwanda kivita

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Rwanda Paul Kagame ameonya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wajiepushe na wazo la kuvamia Rwanda kivita

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko mengine serikalini huku raia wakijiuliza sababu za mabadiliko ya mara kwa mara.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari