Jinsi mwezi wa Ramadhan unavyoimarisha umoja kati ya Wasudan

Your browser doesn’t support HTML5

Namna mwezi wa Ramadhan unavyosaidia kujenga ushirikiano katika jamii ya wa Sudan hata wakati ambao inakabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi.

Ungana na waandishi wetu wakikuletea hali halisi ya maisha inayokabili familia nchini Sudan na hilo halijawazuia kuendeleza utamaduni wao kwa kufanyiana ukarimu. Endelea kusikiliza...