Jeshi la Polisi Kenya lawataka wananchi kuchukua tahadhari

Your browser doesn’t support HTML5

Jeshi la polisi nchini Kenya limewataka wananchi kuwa macho na kutoa taarifa juu ya harakati zozote wanazozitilia mashaka kufuatia tahadhari za ugaidi zilizotolewa na balozi mbalimbali za Ulaya.