Jeshi la Nigeria laendesha operesheni ya kumtafuta kamanda wake
Your browser doesn’t support HTML5
Jeshi la Nigeria laendesha msako wa kumtafuta na kumuokoa kamanda wa kikosi cha 93 aliyetoweka baada ya msafara wa magari aliyekuwa akiyaongoza kushambuliwa ghafla na watu waliokuwa na silaha.