Jeshi la DRC lauchukua tena mji wa mashariki wa Kalembe uliokuwa umetekwa na M23

Your browser doesn’t support HTML5

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema limechukua tena mji wa mashariki wa Kalembe siku moja baada ya kutekwa na wanamgambo wa M23.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari