Je, wakili wa Trump anaeleza nini kuhusu muelekeo wa utetezi wa kesi ya Trump?

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani Donald Trump atachukua muelekeo gani wa utetezi baada ya kushtakiwa kwa kesi inayohusu kumlipa mcheza filamu za ngono, kesi ambayo imefikishwa mahakamani na itasikilizwa dhidi yake?

Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya wakili wa Trump kuhusu hali ya jumla ya Trump. Endelea kusikiliza.