Pia utaweza kupata ushahidi mwingine kutoka kwa Shirika la Wanawake lisilokuwa la kiserikali linalotetea maslahi ya uchumi wa Zambia na usawa wa kijinsia wakieleza changamoto zinazowakabili wanawake nchini humo. Juliet Chibuta, mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya National Women Lobby anatoa kwa muhtasari yale ambayo yamekuwa ni faraja kwao kutokana na ufisadi kudhibitiwa nchini Zambia.
Je, ni alama zipi zinaifanya Zambia kuwa imeimarika katika kukabiliana na hujuma za ufisadi?
Your browser doesn’t support HTML5
Ungana na Maurice Nyambe, mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Transparency International Zambia akikuchambulia mafanikio hayomuhimu ambayo serikali ya Zambia imeweza kufikia katika kupambana na ufisadi nchini humo.