Je, Cameroon itaweza kuvunja ngome ya Misri?

Your browser doesn’t support HTML5

Kuna shauku kubwa kwa mashabiki wa soka wakisubiri nusu fainali ya kwanza Jumatano ambapo Cameroon na Misri zikikutana huku watu wakijiuliza iwapo Cameroon itaweza kuvunja ngome ya Misri.