Italia, Ufaransa na Ujerumani kuisaidia Ukraine kuishinda Russia

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa Italia, Ufaransa na Ujerumani wameahidi kuisaidia Ukraine kuishinda Russia na kusaidia katika kukarabati miji iliyoharibiwa na vita walipotembelea mji mkuu Kivu Alhamisi.

Juhudi za kumaliza mashambulizi yanayofanywa na waasi nchini DRC zinaendelea.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari