Israel yafanya uchunguzi kufuatia kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas

Your browser doesn’t support HTML5

Israel inafanya uchunguzi ikiwa jeshi lake limemuua kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar.

Kesi ya kutaka kumuondoa madarakani Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua yaendelea katika Seneti Kenya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari