Israel na Hezbollah zaendelea kushambuliana siku moja baada ya mashambulizi kuua watu 500

Your browser doesn’t support HTML5

Israel na Hezbollah wameendelea kushambuliana tena leo siku moja baada ya mashambulizi makali ya mabomu kuua takriban watu 500.

Rais wa Marekani Joe Biden kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari