Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Israel na Hamas wameingia katika siku ya nne ya makubaliano ya sitisho la mapigano
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati Israel na Hamas wakiingia katika siku ya nne ya makubaliano ya sitisho la mapigano matumaini ya kuachiliwa mateka zaidi na wafungwa baina ya pande hizo mbili yaongezeka.