Matukio ya Dunia Hatma ya kwenda jela Zuma kujulikana Jumanne 5 Julai, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Polisi nchini Afrika Kusini walikuwa wakisubiri amri ya Mahakama iwapo wamkamate Rais wa zamani Jacob Zuma.