Harris na Trump watumia mdahalo wao wa rais kuungwa mkono na wapiga kura

Your browser doesn’t support HTML5

Harris na Trump wametafuta uungwaji mkono wa wapiga kura katika mdahalo kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Novemba.

Wafanyakazi wa uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya wamerejea kazini baada ya kufikia makubaliano na serikali.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari