Harris kushiriki katika kinyang'anyiro cha urais cha kihistoria Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu wa Rais Kamala Harris kugombea urais katika kinyang'anyiro kinachoweza kuweka historia ya mwanamke wa kwanza kuweza kuongoza Marekani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari