Harris kukubali rasmi uteuzi wa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Demokratik

Your browser doesn’t support HTML5

Kamala Harris kukubali rasmi uteuzi wa kuwa mgombea urais wakati akihutubia mkutano mkuu wa chama cha Demokratik Alhamisi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari