Hali mbaya ya maisha bado ni changamoto katika sekta ya uvuvi nchini Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Mchango wa sekta ya uvuvi Kenya ambayo inachangia chini ya asilimia moja ya pato la taifa lakini bado haijaweza kuwakwamua wavuvi ambao hadi sasa wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha.

Katika makala hii mwandishi wetu anasema licha ya kuwa uvuvi ni sehemu ya usalama wa chakula na ajira kwa wengi, bado sekta hiyo inakabiliwa na changamoto... Endelea kumsikiliza...