Gaza : Jeshi la Israeli lashakmbulia kituo cha televisheni cha Al-Aqsa
Your browser doesn’t support HTML5
Shambulizi lililofanywa na jeshi la Israeli limebomoa jumba ya ghorofa mjini Gaza, Mei 12, ambapo kituo cha televisheni cha Al-Aqsa kilikuwa na ofisi zake katika jengo hilo.