Familia ya Martin Luther King Jr wazindua sanamu la kihistoria

Your browser doesn’t support HTML5

Tukio la kufurahisha la kustaajibisha: Uzinduzi wa kumbukumbu ya sanamu kubwa la kusherehekea mapenzi yaliyokuwepo kati ya Martin Luther King Jr. na mkewe Coretta Scott King.

Katika uzinduzi huo mtoto wa Martin Luther King III, alitoa hotuba fupi ya kumbukizi ya maisha yao. Pia mjukuu wa Martin Luther King Jr. alieleza jinsi alivyokua bila ya kuwaona babu na bibi yake. Endelea kusikiliza...