Ethiopia yatangaza kushirikiana na AU kupambana na al-Shabaab

Your browser doesn’t support HTML5

Ethiopia imetangaza kushirikiana na Umoja wa Afrika kupambana na kundi la al-Shabaab la Somalia.

Baadhi ya mataifa ya Afrika Magharibi yatangaza kuondoa vikosi vya ulinzi wa amani nchini mwao.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari