Duniani Leo November 9, 2021: Umoja wa Afrika waonya juu ya mzozo wa Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Mzozo wa Kaskazini ya Ethiopia umeingia katika ukurasa mpya huku Mjumbe wa Umoja wa Afrika katika Pembe ya Afrika akilieleza Baraza la Usalama la UN muda unakwisha kwa jailli ya kupata suluhu.