Dunia yaadhimisha Siku ya Chakula huku wakulima Afrika wakikabiliwa na changamoto

Your browser doesn’t support HTML5

Dunia yaadhimisha siku ya chakula wakati wakulima wadogo wakiendelea kupata changamoto katika baadhi ya mataifa ya Afrika

Lori la mafuta lapinduka Nigeria na kuua watu zaidi ya mia moja.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari