DRC: Waasi wa M23 wamewakamata mamluki 289 kutoka Romania

Your browser doesn’t support HTML5

Waasi wa M23 wamewakamata mamluki 289 kutoka Romania waliokuwa wakiwasaidia jeshi la Congo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari