ZULIA JEKUNDU: Diddy anyimwa tena dhamana
Your browser doesn’t support HTML5
Jaji wa serikali kuu alikataa ombi la mwanamuziki nguli Sean Combs la dhamana kwa mara ya pili wakati akisubiri kesi ya tuhuma za utapeli, utumwa wa kingono na usafirishaji wa watu kwa madhumuni ya ukahaba