Daktari Kenya asema watu bado hawazingatii haki za wanyama
Your browser doesn’t support HTML5
Haki za wanyama bado hazifuatwi nchini Kenya ambapo daktari wa wanyama anaeleza jinsi wale wanaoletwa katika hospitali yake wanavyo kuwa na majeraha yaliyo sababishwa na wanadamu.