COVID -19 bado ni tishio kwa Olympiki 2021 bila ya chanjo

Your browser doesn’t support HTML5

Tishio la maambukizi ya COVID-19 iwapo Olympiki 2021 itafanyika linatokana na kukosekana chanjo ya virusi vya corona hadi hivi sasa.