Chama cha Demokratik kumuidhinisha Kamala Harris kuwa mgombea urais rasmi

Your browser doesn’t support HTML5

Chama cha Demokratik kumuidhinisha Kamala Harris kuwa mgombea wa urais rasmi kwa tiketi ya chama hicho.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken yuko Mashariki ya Kati katika ziara ya 9 kutafuta suluhu kati ya Israel na Hamas

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari